Materials za kutengeneza Box za Sabuni

Materials za kutengeneza Box za Sabuni

Eliud Elison

New Member
Joined
Nov 11, 2022
Posts
1
Reaction score
0
Habari wana jamii forum.
Naomba kupata msaada wa Mawasiliano ya mtu au kiwanda / agent yeyote anayeusika na utengenezaji wa materials za Box kama za kutengeneza cattons za sabuni ya mche.
Mfano wa Box.
Screenshot_20230309-082856.jpg
Asante
 
Back
Top Bottom