Dennis Robert Shughuru
JF-Expert Member
- May 30, 2024
- 5,559
- 8,747
Nagusa kila eneo ukipata mda angalia nyuzi zangu nimongelea mambo mengiTuko pamoja mr president ila tutaomba katiba mpya kwanza kabla hatujaanza kilimo cha ozone layer kwenye sayari nyingine
Dogo ingekuwa vema ujishughulishe na kilimo cha bustani mbogamboga hapo uwani Kwa shemeji/mume wa dada yako, ukijiandaa Saa 9 alasiri kwenda kamchukua junior EM.Ni material zipi hizo zinazotumika kutengenezea ozone layer mfano wa hii ya dunia hili ndo swali ambalo wewe unajiluza bila majibu
Jibu ni greenhouse gases ndo raw material zilizotumika kutengenezea ozone layer hii ya dunia na hata za sayari nyingine
Nikiwa Rais wa Tanzania kutatengenezwa ozone layer hapa Tanzania kwa kutumia greenhouse gases na kwenda kupandwa kwenye sayari nyingine
View attachment 3385614
Akiingia ikilu itabid uhame nchi mkuu ,uvccm wake watakuandama balaa bora ufute hii komentDogo ingekuwa vema ujishughulishe na kilimo cha bustani mbogamboga hapo uwani Kwa shemeji/mume wa dada yako, ukijiandaa Saa 9 alasiri kwenda kamchukua junior EM.
C'mon get that weirdass moving!
Unaakili ndogo sana sio kosa lakoDogo ingekuwa vema ujishughulishe na kilimo cha bustani mbogamboga hapo uwani Kwa shemeji/mume wa dada yako, ukijiandaa Saa 9 alasiri kwenda kamchukua junior EM.
C'mon get that weirdass moving!
Yaani kapotosha watu vibaya mnoHapa umepuyanga.
Hawana utayari hio ndo changamoto kubwa sanaJe, kuna hao wataalamu ..Tatizo ni kwa wasomi ,zipo Taasisi kama mamlaka ya hali ya hewa Tanzania ,wanashindwaje kuwa na project kubwa kama hizo .
Sio kosa lako akili zako zimeshikwa una uhuru wa kufikiriYaani kapotosha watu vibaya mno
Ahsante kwa kushirikiWe ni kichaa.
Ozone (O³) ni isotope ya oxygen inayotengeneza ozone layer. Sasa greenhouse gases zinahusika vipi hapo?Ni material zipi hizo zinazotumika kutengenezea ozone layer mfano wa hii ya dunia hili ndo swali ambalo wewe unajiluza bila majibu
Jibu ni greenhouse gases ndo raw material zilizotumika kutengenezea ozone layer hii ya dunia na hata za sayari nyingine
Nikiwa Rais wa Tanzania kutatengenezwa ozone layer hapa Tanzania kwa kutumia greenhouse gases na kwenda kupandwa kwenye sayari nyingine
View attachment 3385614
Eee? Eeee?
Katika haya maisha, kama hali yako ya kiuchumi ni ndogo, hakikisha unamuomba MUNGU akupe mtoto mwenye iq ya kati, akiwa na iq kubwa na hauwez kumuendeleza, matatzo yake ndo haya
Kuna lingine umesahauEee? Eeee?
Katika haya maisha, kama hali yako ya kiuchumi ni ndogo, hakikisha unamuomba MUNGU akupe mtoto mwenye iq ya kati, akiwa na iq kubwa na hauwez kumuendeleza, matatzo yake ndo haya
Alinishangaza sana hapo muheshimiwa rais ajaye tunajua kabisa greenhouse inavyoathili ozone layer au ndio vile anasemaga elimu yetu imechezewaOzone layer is solely consists of a material made of 3 oxygen atoms bonded together forming a moecule called Ozone (03). In a nutshell, ozone layer is made up of ozone molecules.
The greenhouse gases deplete ozone layer.