Habari za mda huu wadau!
Haya yule wifi/shemej yenu anakaribia kunifungua Mungu ashukuriwe. Napenda kuuliza je ni hospital gani nzuri ya private kwa kujifungulia kwa hapa Dar es Salaam na gharama zake? Klinik yake ilikua muhimbili ila tunapenda kwa kujifungulia tuhamie private.
Ahsanteni!
Sent using
Jamii Forums mobile app