Mateso makubwa waliyoyapata watuhumiwa wa Ugaidi walioshitakiwa pamoja na Mbowe yanatisha, Inashangaza wamewezaje kuwa hai hadi sasa

Mungu awalaani hawa wanaowafanyia ubaya huu wenzao, wao na watoto wao mpaka kizazi cha nne kijae laana tupu. Na wale wanaowaua wenzao kwaajili ya kufurahisha watawala. Amina
 
wacha wanyooooshwe tu mbowe lazima ale miaka
Sikushangai hata! Wote mliosoma kibaha sekondari mliharibikiwa sana vichwani Kwa kukaririshwa mafomula ya kemia na physics ambayo huku mtaani hayana dili!

Mpo wengi mkiongozwa na ndugai ambaye naye ni walewale na mnafanana mno katika kuwaza kindezi! Ati nasema uongo ndugu kibaha alumni? Uko na upuuzi mwingi mno!
 
Chupa za bia! [emoji28]

It’s only funny if you can imagine it!!
Komando ni asset kubwa na muhimu sana jeshini.

Anaijua intelejensia na frontier tactics balaa.

Akiasi mmoja huwa wanahesabu hasara kubwa sana lakini handling with cautions.

Na kw hivi wanajifanya wapole lakini one mistake ya askari jela inaweza kuwaponza gereza zima
 
Nitaiweka hapa ukimbie mzee wa kisanvu kitandani

USSR
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…