Mateso yanaruhusiwa kisheria kufanyika kwa mtuhumiwa wakati wa mahojiano

Idd Ninga

JF-Expert Member
Joined
Nov 18, 2012
Posts
5,497
Reaction score
4,775
Mara kadhb imesikika mtuhumiwa kulalamika kukiri makosa yake kwa sababu ya mateso makali alowakuwa akifanyiwa wakati wa mahojiano na polisi.
kwa wataalamu wa sheria,"JE SHERIA INASEMAJE JUU YA MTU KUKIRI KOSA KWA SABABU YA MATESO ALOPEWA WAKATI AKIHOJIWA NA JE NI AINA GANI YA MATESO YANARUHUSIWA KUFANYIKA WAKATI WA KUMUHOJI MTUHUMIWA ?
NA KWA UPANDE WA PILI,MTUHUMIWA ANARUHUSIWA KISHERIA KUWASHTAKI WALOMTESA WAKATI WA MAHOJIANO ?
 
Kwanza tuanze na katiba ya jamhuri ya muungano ibara ya 13(6)e ambapo inasema ni marufuku mtu yoyote kuteswa kinyama au kupewa adhabu zinazo mtweza........ Katiba inazuia mtu kuteswa ili a conffes offence husasani polis wanafanya sana hii torture. tukitoka nje km England ikibainika mtu AME confessi guilty by tortured kwa kuteswa hata km alisema ukweri ,huo ushahid haupokelewi mahakamani ila kwa TZ sasa CPA Cap 2o imeeleza ikiwa mtu aliongea ukweri mtupu hata kam aliteswa mahakama ita consider ushahidi wake , tatizo hapa ni sheria zetu zinamkanganyiko
KiSheria #

Upande WA pili mtu inapotokea ametambuliwa kimakosa halafu akawa amepata madhara specific damage selikari itamlipa fidia au makama husika . ................#
 
Nakuja pm mkuu nna shida kisheria
 
Kutesa ni jukumu la polisi kisheria na kimafunzo(walivyotreiniwa mafunzoni) lakini wewe raia utapata tabu sana kunielewa.mtuhumiwa kuna muda anatakiwa kuteswa tena kwa kipigo heavy kipind tu hataki kutoa taarifa kulingana na kosa lake kwahivyo kwa saikolojia za kipolisi kuna huwa wanafahamu mtuhumiwa mwenye ukweli/kosa na hataki kusema.
 
Back
Top Bottom