Kwanza tuanze na katiba ya jamhuri ya muungano ibara ya 13(6)e ambapo inasema ni marufuku mtu yoyote kuteswa kinyama au kupewa adhabu zinazo mtweza........ Katiba inazuia mtu kuteswa ili a conffes offence husasani polis wanafanya sana hii torture. tukitoka nje km England ikibainika mtu AME confessi guilty by tortured kwa kuteswa hata km alisema ukweri ,huo ushahid haupokelewi mahakamani ila kwa TZ sasa CPA Cap 2o imeeleza ikiwa mtu aliongea ukweri mtupu hata kam aliteswa mahakama ita consider ushahidi wake , tatizo hapa ni sheria zetu zinamkanganyiko
KiSheria #
Upande WA pili mtu inapotokea ametambuliwa kimakosa halafu akawa amepata madhara specific damage selikari itamlipa fidia au makama husika . ................#