MATHARE SLUM NAIROBI- Kutana na Kikundi cha Kihalifu(Gangs) kinachofanya kazi ya Kudai kodi kwa wafiwa sugu

MATHARE SLUM NAIROBI- Kutana na Kikundi cha Kihalifu(Gangs) kinachofanya kazi ya Kudai kodi kwa wafiwa sugu

game over

JF-Expert Member
Joined
Jan 1, 2016
Posts
10,727
Reaction score
24,840
Hivi hii Kenya ni Nchi au ni Genge la wahuni,
Imagine unaletewa majamaa na mapanga na Visu kukudai kodi ma Serikali ipo..
Failed state, hovyo kabisa
 
Ata ukijaribu kudivert attention pande nyingine bado hatujasahau Magufuli haijulikani alipo [emoji28][emoji28]
Hahah, I see how Kenyans are obsessed with Tanzania,
In Tz no one cares about the drunkard fellow and what he does.
JamiiForums1092802482.jpg
 
Hivi hii Kenya ni Nchi au ni Genge la wahuni,
Imagine unaletewa majamaa na mapanga na Visu kukudai kodi ma Serikali ipo..
Failed state, hovyo kabisa
Mkuu
Wapigie kimya kwanza. Muda huu wakati Magu anapiga mzigo bila kuonekana waache wavurugane vichwa kisha akiibuka tuanze na hizi mada
 
Hahah, I see how Kenyans are obsessed with Tanzania,
In Tz no one cares about the drunkard fellow and what he does.
View attachment 1724680
Kelele za chura hizi, kwani kuna siku hata moja umesikia kwamba rais Uhuru Kenyatta amefika kwenye hospitali za Tanzania kutibiwa? Au kwamba kwenye mida hii ya janga la COVID-19 kuna mkenya ambaye amepandishwa kwenye pipa la AMREF kwa dharula ili aje Tz kupiga nyungu?
 
Tangu story ya Magu liibuke mibongolala imeshinda ikifungua nyuzi zizizoeleweka just to divert attention. Desperation ni mbaya nani
Wamechanganyikiwa sana na wana hasira na wakenya utadhani sisi ndio tulimuambukiza virusi mzee wao yule 'kiboko' cha COVID-19 na 'mabeberu'. Hawa mataga wana matatizo ya akili, sio bure.
 
Wamechanganyikiwa sana na wana hasira na wakenya utadhani sisi ndio tulimuambukiza virusi mzee wao yule 'kiboko' cha COVID-19 na 'mabeberu'. Hawa mataga wana matatizo ya akili, sio bure.
Yani wamejaa hasira Ni kama sisi ndio tuliwadanganya hakuna corona
 
Poleni sana Mataga ata sisi uku Kenya tunamuombea raisi Pombe mkatili quick recovery
 
Kelele za chura hizi, kwani kuna siku hata moja umesikia kwamba rais Uhuru Kenyatta amefika kwenye hospitali za Tanzania kutibiwa? Au kwamba kwenye mida hii ya janga la COVID-19 kuna mkenya ambaye amepandishwa kwenye pipa la AMREF kwa dharula ili aje Tz kupiga nyungu?
Hahaha, eti airlifted to Nairobi sijui Amref and all the covid Madness,
Hizo habari za JPM kutibiwa Kenya, India hadi kufa zimeanzishwa na Wakenya wenyewe, yaani mnajitekenya halafu mnacheka wenyewe..
I think ugumu wa maisha na ujinga na upumbavu wa Uhuruto na some useless curfews plus atress ndio maana upo TZ's JF muda huu unahangaika kutuaminisha kama Kenya ni nchi yenye Maendeleo dizaini ya Singapore,

Sisi huku hatuna hata habari na Watz hawana hata shida wala hawahitaji kujua JPM yuko wapi na anafanya nini, sababu maisha ni uhakika,
Kwa Mfano,
hapa nilipo napiga bia zangu tamu sana kwenye kiwanja fulani Viunga vya jiji tamu la Dar na watu nyomi yaani,
Hatuwezi kuacha kunywa bia sababu ya mafua ya wazungu., death will come at any time stop stressing yourselves, Uhuru Kenya anawapiga Curfew halafu yeye ana counter imejaa Jameson na Hennessy na misokoto ya bangi ya Kutosha anajilipua kwa raha zake ,

Tazama hapa nakunywa bia and we have been doing this since the first wave *****.

Tazama hiyo chupa ya bia baridi inavyotoa jasho *****

20210313_213639_mfnr.jpg
 
See your reasoning [emoji28] you're obviously drunk!
We shall ignore you till morning, I think its about time you request a cab and go home to your wife and kids!
The only drunkard fellow is Uhuru Kenya.
 
Back
Top Bottom