Kelele za chura hizi, kwani kuna siku hata moja umesikia kwamba rais Uhuru Kenyatta amefika kwenye hospitali za Tanzania kutibiwa? Au kwamba kwenye mida hii ya janga la COVID-19 kuna mkenya ambaye amepandishwa kwenye pipa la AMREF kwa dharula ili aje Tz kupiga nyungu?
Hahaha, eti airlifted to Nairobi sijui Amref and all the covid Madness,
Hizo habari za JPM kutibiwa Kenya, India hadi kufa zimeanzishwa na Wakenya wenyewe, yaani mnajitekenya halafu mnacheka wenyewe..
I think ugumu wa maisha na ujinga na upumbavu wa Uhuruto na some useless curfews plus atress ndio maana upo TZ's JF muda huu unahangaika kutuaminisha kama Kenya ni nchi yenye Maendeleo dizaini ya Singapore,
Sisi huku hatuna hata habari na Watz hawana hata shida wala hawahitaji kujua JPM yuko wapi na anafanya nini, sababu maisha ni uhakika,
Kwa Mfano,
hapa nilipo napiga bia zangu tamu sana kwenye kiwanja fulani Viunga vya jiji tamu la Dar na watu nyomi yaani,
Hatuwezi kuacha kunywa bia sababu ya mafua ya wazungu., death will come at any time stop stressing yourselves, Uhuru Kenya anawapiga Curfew halafu yeye ana counter imejaa Jameson na Hennessy na misokoto ya bangi ya Kutosha anajilipua kwa raha zake ,
Tazama hapa nakunywa bia and we have been doing this since the first wave *****.
Tazama hiyo chupa ya bia baridi inavyotoa jasho *****