hayo ni mawazo yangu tu jamani na jinsi nilivyokuwa nafikiri about mathematics,manake msingi wa tatizo langu unaanzia kwenye programming..kwa mawazo yangu mwenyewe sikuweza kulitambua kosa,lakini mchango wenu umeniwezesha kugundua kitu
- thanx SMU - nimekupata vizuri ni kweli kuna assignment problem hapo nilipolet a=1 badala ya 1=a
-thanks CPT-nahisi hapa ndo hasa tatizo lipo