Mathematics inanicofuse sasa

Mr Anold

JF-Expert Member
Joined
Jan 19, 2012
Posts
218
Reaction score
47
Nimekutana na challange hizi, kwa anaezipata naomba msaada.
1. F(x)=2n, where n is all positive integers.
hizo positive integers ni zipi?
2. Approximate 268032 to the nearest thousands.
3. Round off the following as instructed
3.25677 to i. 1 dec place
ii. 2 decimal places
iii. 3 significant figures
 
1. +ve intergers ni kuanzia 1, 2, 3,... Pamoja na kuwepo mabishana kati ya mathematician kuwa 0 nayo inaingia.
2.268032= 27000 approx to nearest thousand.
3. (1) 3.25677=3.3 (correct to 1dec place).
(2) 3.25677= 3.26(cor to 2dec place).
(3) 3.25677= 3.26. Cor to 3sign fig.
 
1. Integer ni number zote yaani hasi na chanya pamoja na sifuri 2. 268000 3. i 3.3, ii 3.26 iii. 3.257
I hope sijasahau calculas. bye
 
waliniambia kuwa positive integers na zero ipo nika ???.
Approximations wakasema kama next digit after required number ni even hakuna badiliko yaani 2.58 to 1 dec place ni 2.5 na pia kama ni 5 pia haitabadili mfano 3.25 ni 3.2 in 2 sginificant figure
 
Yes ni sawa kabisa kwa mujibu wa kitabu cha form 1 alichokichapisha AKAMOGA MASINDE juu ya assumption hizo hapo juu nilisahau hilo.
 
Yes ni sawa kabisa kwa mujibu wa kitabu cha form 1 alichokichapisha AKAMOGA MASINDE juu ya assumption hizo hapo juu nilisahau hilo.

2.58~2.5 hapa cjaelewa kabisa ni nyambar ya form ngap iyo
 
2.58~2.5 hapa cjaelewa kabisa ni nyambar ya form ngap iyo

Tafuta kitabu cha form 1 Jina AKAMOGA MASINDE nadhani ni toleo la 2010 hivi kaweka principles kadhaa hiyo ikiwa mojawapo. Nimesahau si unajua msomaji na mfundishaji mara nyingi anaesomesha anazingatia kuliko anae delive.
 
Mkuu CHAMVIGA nitakusahihisha kidogo tu I hope you do not mind:

2. Approximate 268032 to the nearest thousands. Jibu ni 268,000.
 
scholars wengine huwa wanaconsider zero as +ve or -ve ktk calculation zao nadhan hili linategemea na limit.km unaapproach zero frm postive bac huwa +ve na viceversa!
hlo la kwz ni fnct ya even number na hapo huwez kuconsider zero as postive or negative!
book one ya tie inadanganya sn khs approximation hasa namba ya kulia ya namba iliyo ktk nafasi inayokadiriwa inapokua 5!ikitokea hvy huwa ni lazima kuangalia hyo namba kadiri ni even or odd lakini wao hawaelekez hivi. ila hzi kanuni co universal
 
mkuu una uhakika na hiyo no.2?kumbuka ni namba tano imefuatana na namba shufwa
 
mkuu una uhakika na hiyo no.2?kumbuka ni namba tano imefuatana na namba shufwa

Jaribu na wewe mkuu, fanya appoximation according to the instruction kisha tuona ulichopata.
 
Zero is neither positive nor negative. By definition numbers greater than zero are positive while numbers less than zero are negative. Zero cannot be greater or less than itself hence is neither positive nor negative.
 
Yes ni sawa kabisa kwa mujibu wa kitabu cha form 1 alichokichapisha AKAMOGA MASINDE juu ya assumption hizo hapo juu nilisahau hilo.
majibu yote sahihi, katika normal applications majibu yako ni sahihi ninawasiwasi na namba2, na katika higher level (Computations technique) majibu ya aliyesahisha pia ni sahihi.kama mpaka form one wanasoma hayo kumbe nimezeeka me niliyasoma chuo.
 
Na hii je?
 
mkuu una uhakika na hiyo no.2?kumbuka ni namba tano imefuatana na namba shufwa

Hapo kwenye Decimal place hakuna formular ya numba shufwa hapo unaangalia kama ni tano au zaidi u have to add 1 to nearest number e.g 3.25677 unaanza kuhesabu kwenye hiyo nukta kuja kulia kwako unaishia kwenye 6 then 6 ipo above ndiyo maana 5 ikawa 6 like this 3.26 Ans
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…