I agree with you. Mathematics is like a puzzle to me, I enjoy doing it and I like it a lot.
yaa, all u need to know is formula, then kila kitu kinajipa chenyewe, namba haibadiliki bana wala formula haibadiliki, tena ukipata mwalimu mzuri utafurahi na numbers.
teacher aliyenifanya nipende maths sitakaa nikamsahau(Mr. R.Kelly), alikuwa mpenzi sana wa arsenal, akija darasani anamaliza kama dakika 15 anabishana na wanafunzi kuhusu football na cartoon(simpson). akimaliza hapo, utafura mwenyewe, unatamani kipindi kisiishe.
jitahidi ndugu, kama unamoyo utafanikiwa tu, omba misaada kwa wenye nazo, all u need ni internet, computer na projector.Thanx for the Link, Nafikiria namna ya kuipeleka hii website kwenye shule moja ya kata huko vijijini ili angalau wapunguze makali ya kutokuwa na walimu wa Maths. It looks like is gonna help them. Tatizo ni namna ya kufanikisha. Am working on it!!
Thanx for the Link, Nafikiria namna ya kuipeleka hii website kwenye shule moja ya kata huko vijijini ili angalau wapunguze makali ya kutokuwa na walimu wa Maths. It looks like is gonna help them. Tatizo ni namna ya kufanikisha. Am working on it!!
Tumia njia hii tafuta hizo topic burn kwenye CD au DVD watumie walimu au shule au watatoa copy wawape au wawagawie wanafunzi.
Kwa wenye DVD au CD au dv player majumbani wanaweza kutazama video hata nyumbani badala ya kutizama tamthilia,
Tumia njia hii tafuta hizo topic burn kwenye CD au DVD watumie walimu au shule au watatoa copy wawape au wawagawie wanafunzi.
Kwa wenye DVD au CD au dv player majumbani wanaweza kutazama video hata nyumbani badala ya kutizama tamthilia,