Mathias

Karibu sana JF njukuu wetu hapa kwa GT ufaidi.
 
Kamati ya kupokea wageni , imekuwa kimya sana kulikoni?
Karibu pita hadi ndani.
 
Where are you coming from, young boy. You are warmly welcome.
 
nashangaa maana hata sijakaribishwa.. nikaribishen mi mgen hata sjui viti wapi

Karibu sana JF! Jisikie uko nyumbani. Kama hiyo avatar ni ya kwako basi jiandae tu kuwapokea na wewe mabaharia huko pm.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…