Elections 2010 Mathread kwa heshima ya chama;tunaomba kesho mtueleze uhuni uliofanyika dar

Elections 2010 Mathread kwa heshima ya chama;tunaomba kesho mtueleze uhuni uliofanyika dar

Pdidy

JF-Expert Member
Joined
Nov 22, 2007
Posts
57,951
Reaction score
32,619
Kwa heshima ya chama na serikali kwa ujumla
kwa heshima ya wana ccm wote wanaokitakia chama chao mapenzi mema
ninatarajia kesho kumwona mzee wetu mathread akieleza imekuwaje uhuni ama naweza ita utapeli wa kura uliofayika dar na kufikia watu walioshindwa kuvumilia kuchana leja za majina baada ya kukuta karatasi za kati azipo..je mlikuwa amjajiandaa na uchaguzi huu ama mliutangaza ili mpate misaada nje mjulikane kuna democrasia..anyway nisikusemee moyo mzee makamba natumaini kwa mvi zako ntakuona kesho kwenye runinga kama ulivyotoka kabla ya uchaguzi
 
Back
Top Bottom