Blasio Kachuchu
JF-Expert Member
- Sep 7, 2016
- 721
- 438
Sahihii kabisaa mkuu. Kwenye mazingira ambayo Pemberton ni changamoto na masoko.kuleta drones za 17m ni madharauu makubwaaaTatizo la wakulima wa Tanzania siyo changamoto ya kunyunyizia dawa. Huu ni usanii kama usanii mwingine wowote.
Nilikuwa nawaza kama wewe, hizi technology tumechelewa na wazungu sio ya Kibongo hii🤣🤣Tatizo la wakulima wa Tanzania siyo changamoto ya kunyunyizia dawa. Huu ni usanii kama usanii mwingine wowote.