Matiangi atoa katazo la kutembea usiku katika maeneo 15 kufuatia tukio la kuchinjwa watu 9

Matiangi atoa katazo la kutembea usiku katika maeneo 15 kufuatia tukio la kuchinjwa watu 9

Queen V

JF-Expert Member
Joined
Jan 19, 2012
Posts
775
Reaction score
1,332
MATIANGI-CIVIL-SOCIETY-1.jpg

Kaimu Waziri wa Mambo ya Ndani, Dr. Fred Matiangi ametangaza katazo la kutembea usiku katika maeneo kadhaa ya Kaunti za Lamu, Garissa na Tana baada ya mashambulio kutoka kwa Wanamgambo wa Al Shabaab.

Agizo hilo linafuatia shambulio liliofanyika Jumamosi katika kijiji cha Jima huko Magharibi mwa Lamu lililopelekea vifo vya watu 9 na mmoja kujeruhiwa.

Katazo hilo la siku 90 linahusisha muda wa saa 12 na nusu jioni hadi saa 12 na nusu asubuhi na linahusu maeneo 15 ambayo yamepata mashambulio au yanahofiwa kufanywa makazi na wanamgambo hao.

=======

Acting Interior Cabinet Secretary Dr. Fred Matiangi has moved to restore order in parts of Lamu, Garissa and Tana River counties by declaring a dusk-to-dawn curfew in response to a barrage of attacks by Al Shabaab terrorists.

The order, published in a special gazette notice, follows Saturday attacks in Jima Village in Lamu West that left nine people dead and one seriously injured. Many more were displaced following the attacks in which victims—mostly men—were beheaded.

The 6.30pm to 6.30am curfew will be in place for 90 days and covers 15 localities which have suffered persistent attacks and may be areas harboring the militants.

Saturday’s curfew covers Holugho Border Point, Galmagala, Sangailu, Masalani, Bodhei, Milimani, Baurre, Basuba, Mangai, Mararani, Ijara, Hola, Garsen, Kipini, Kiunga and Ishakani/Dar-es-Salaam Border Point.

“Every person who resides within this Sub-Counties shall except under and in accordance with the terms and conditions of a written permit granted by the respective Deputy County Commissioner of the affected areas, remain indoors in the premises at which they reside or at such premises as may be authorized,” reads the Kenya Gazette Notice no. 107.

It was Matiangi’s first task after on being named acting interior minister to replace Joseph Nkaissery who collapsed and died at his home on Saturday morning. The cause of his death has not been established.

Nkaissery had himself extended a long standing curfew in Lamu mainland in January 2015 immediately after his appointment following attacks in Mpeketoni that had left 100 people dead.

The curfew, mainly targeting Lamu Island and the mainland have been intermittent since then with the latest dawn to dusk ban lifted by President Kenyatta in May 2017.

Source: Capital Fm
 
hawa majilani siku wakipata aman kama yetu na matatizo kama ukabila yakaisha bhasi kuwakuta kimandeleo na kuwapita itakuwa ni kwamba utalajie sudan kusini kuja kumpita USA kiuchumi kitu ambacho kamwe hakita tokea....yan wana changamotonyingi sana lakini bado wanasonga sio sisi aman ipo ila maendeleo yanakuwa gradual kuliko maelezo tumebaki kutoa matamko kila kukicha mwshowe tunatoa matamko ya kuufanya ulimwengu utucheke(rejea tamko la ujauzito kwa mabint wa shule),
jamaa wanapambana na wanaume al-shaabab kila kukicha lakini husikii manung'uniko ya raia wao kuwa wana nyanyasika kwa kuhisiwa nao ni magaidi ila kwetu mh......

R.I.P marehemu wote na hongera kwa huyo kaimu waziri....sisi tuna waziri mwenye mamlaka kamili lakini alisha tueleza kuwa katika wizara yake sio kila jambo linatolewa habari na hatimaye na yy akawa kimya mpaka kuna muda huwa tunahisi hayupo na hata kuna muda tulihisi RPC wa DSM ndiye waziri na baadae akawa IGP na ndio mpaka leo anatupatia updates ambazo baadhi zingetakiwa kutolewa na waziri husika maana tungepata maelezo zaid lakin mwishowe tunapewa updates na kamanda wa polisi na daima askari hanaga maneno mengi so hakuna kuhoji sana!
Peleka jukwaa la siasa uku Wakenya hawatakusaidia

Sent from my SM-N910H using JamiiForums mobile app
 
mwenyewe "unajifanya" umeandika vitu vya maana.SMH.

Nina hakika hujui kitu chochote kuhusu kenya....eti hawalalamiki!?....unawajua wakenya unawasikia....pitia baadhi ya tweet zao.
a41a9b2bb9f3e4654349d1f6420cf964.jpg
66b97e79f6cc45823b1eeb6853e68e96.jpg
 
Kuna mijitu haijui mambo lakini inajua kutype tu bila research hata angalau 1%.

Ndo maana Rais Mstaafu Mkapa anamwita huyu jamaa "pumbavu" na siyo mjinga.

Sent from my TECNO-N8 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom