Matibabu kwa mtu aliye athirika kwa kufanya mapenzi kinyume na maumbile

mwalidebe

JF-Expert Member
Joined
Mar 27, 2016
Posts
425
Reaction score
250
Ndugu,jamaa na marafiki habarini za wakati huu. Naomba mawazo,ushauri kupitia mada hii ya walio athirika kwa kufanya mapenzi kinyume na maumbile.
Kama mnavyo fahamu wako baadhi ya watanzania wenzetu walioathirika na jambo hili wapo wanaofanya kwa siri sana wapo wanaofanya kwa uwazi,madhara yatokanayo na tendo hilo ni makubwa sana inawezekana muhusika akawa anafahamu au afahamu,pia ufanyaji wa tendo hili inawezekana muhusika anafanya kwa hiyari yake au pasipo hiyari mfano wapo wafungwa wa kiume ambao huingiliwa kwa nguvu na wafungwa wababe pia wapo ambao wanabakwa na kufanyiwa ukatili huu mkubwa either na ndugu zao au watu wakaribu au pengine majambazi wakavamia nyumba wakanza kulawiti pengine wapenzi wakati wa tendo la ndoa mmoja akamshawishi mwenzake n.k
Sasa jamani naomba tuwasaidie mtu aliye umizwa kwa kufanyiwa huu ukatili je anaweza kupona akarudi kwa hali yake? Nakumbuka wakati niko shule kuna mwanafinzi mwenzetu wa kiume aliwai kulawitiwa na jamaa wakati akitoka shule na aliumizwa sana ila Mungu mkubwa alipelekwa muhimbili baada ya matibabu akapona kabisa sasa sijui yule alipona kwa sababu alikuwa mtoto au hata sasa mtu mzima anaweza kupona?
Wengine wamefanyiwa vitendo hivi si kwa hiyari yao kama nilivyoeleza na wanaona aibu kwenda hospital je tunawasaidiaje?
Naomba tuchangie uzi huu kiustarabu ili tuwasaidie wahanga waweze kupona. Matusi kejeli tusiruhusu ndugu zangu najua kuna watu wenye imani zao kali ila tutoe mawazo yetu kwa ustaha kumbukeni hujafa hujaumbika. Inaweza kukutokea hata wewe unayependa kutafuna wake za watu siku ukafumaniwa watu wakachana marinda na ukahitaji matibabu sasa tutoe ushauri kwa kizazi cha leo na watakaofuata bada yetu. Shikamooni.
 
Umeandika kama unajikuna huku unaandika! Hata sijaku-Catch ki sawa sawa aisee.
Au na wewe ni muathirika wa hiyo*****
 
Nafikiri anahitaji kwenda hospitali, kupata ushauri nasaha na kuona viongozi wa dini au imani yake.Maana MTU wa hivyo atakuwa ameumizwa kimwili,kihisia na hata kiroho.
 
Heshima kitu cha bure ndugu, jitahidi kufuatilia aina ya mtu hapa JF naomba tusivunjiane heshima.
 
Hakuna matibabu ya iyo kama ni mchezo wako imekula kwako. Linda likifumuliwa ndio imetoka iyo kijana.
 
Back
Top Bottom