Maweeeeeeeee mimi nikaambiwa eti nina cyst ndogooo ndo inaanza kujitokeza matibabu laki mbili,nikawaambia mi nina insurance nitaenda kununua dawa sehemu ingine wakasema kama ni hivo sitapona ila niliogopa kweli. Nikaenda kwa dokta mwingine akaniambia sina chochote akanieleza na sababu za kuumwa kwangu.
wakasema kupima ni kwa computer basi tukalazwa kitandani pale tukavuliwa vichupi vyetu vikatupwa nje huko
acha tu ndugu yangu yaani siamini hata sasa halafu watu wamepiga foleni pale balaa ,nenda uoneHivi smile na ujanja wote unaliwa 50, unachunguliwa kirahisi namna hii! Loh! Isitoshe majitu yenyewe yaliyokuchungulia hayana hata ethics siku ukipita bar yanaanza kusimuliana. Duh! Wajinga ndio waliwao.
nyonga tu ndo inauma kidogo ni cause ya ovulation bwana
Pole sanaNi ramli ya kizungu au ni nini?
Sometimes nikiwa katika kipindi cha ovulation kiuno/nyonga huwa inaniuma sio sana lakini.especial kama ni ovary ya upande wa kushoto, sasa juzi ikanitokea nikamueleza best yangu sasa tukiwa njiani tukaona clinic ya wanawake na uzazi nikamwambia tucheki maeneo yetu kama yapo vizuri siku hizi magonjwa mengi basi tukaenda pale kumuona dokta.
Kupima ni 50, wakasema kupima ni kwa computer basi tukalazwa kitandani pale tukavuliwa vichupi vyetu vikatupwa nje huko
tukashikishwa mouce ya kompyuta dkk mbili tatu tukaambiwa tayari tufate majibu kesho yake eti system ina load matatizo yetu
kesho yake hao tukaenda.
Maweeeeeeeee mimi nikaambiwa eti nina cyst ndogooo ndo inaanza kujitokeza matibabu laki mbili,nikawaambia mi nina insurance nitaenda kununua dawa sehemu ingine wakasema kama ni hivo sitapona ila niliogopa kweli. Nikaenda kwa dokta mwingine akaniambia sina chochote akanieleza na sababu za kuumwa kwangu.
Shoga yangu nae kidogo afe pressure maana aliambiwa mlango wa kizazi upo wazi so unatakiwa ufungwe yaani ngoja narudi.
acha tu ndugu yangu yaani siamini hata sasa halafu watu wamepiga foleni pale balaa ,nenda uone
Ni ramli ya kizungu au ni nini?