Nina mdogo wangu ana tatizo hilo linamtesa sana toka akiwa mdogo amefanyiwa operation mara kadhaa na bado unajirudia. Ulimtokea ktk eneo la pua na jicho.
Nawakaribisha wataalamu kwa msaada kama kuna dawa maana hospital anaambiwa ni upasuaji tu sasa atapasuliwa mpaka lini? Ndo tunawaza hapo
Mhhh ndugu yangu huo ugonjwa sidhani kama una dawa nimeshawahi kusoma kwenye mtandao nikaona hicho kitu,
Jaribu kugoogle utasoma kila kitu...
Huo ugonjwa huwa unaenea mwili mzima kadiri siku zinavyoenda