wewe Mtani (mzaramo) nini? "chengine" ndo nini?Watanzania wengi wanaenda hospital za kihindi uninformed...hawana full details au recommendation ya mtu aliyeenda kutibiwa tumbo wakati mimi naumwa kichwa. Lazima uhakikisho ya kuwa hiyo hospital aliyoenda ina ubingwa katika hayo matibabu unayotaka ni jambo la muhimu.
Chengine we are price conscious, sio hospital zote ziko juu...zile zenye matibabu ya kuaminika huwa ni expensive
Wanabodi,
Wimbi la Tanzania kuwapeleka wagonjwa wetu nchini India kwa matibabu, limeendelea.
Kwa vile mimi ni mmoja wa Watanzania niliotibiwa nchini, India, nakubali kuwa India inasaidia kwa baadhi ya magonjwa na gharama zake ni nafuu, lakini kwa magonjwa complex, India si lolote, si chochote, ni biashara tuu!
Nitaendelea.
Pasco.