Matibabu Nje Ya Nchi au Biashara ya Viungo

Matibabu Nje Ya Nchi au Biashara ya Viungo

Herbalist Dr MziziMkavu

JF-Expert Member
Joined
Feb 3, 2009
Posts
42,872
Reaction score
34,363
Ndugu zangu

Kuna tuhuma kwamba wagonjwa wanaopelekwa nchi za nje kwa ajili ya
matatibu haswa kwa njia ya misaada huwa wanan'golewa viungo vyao kama
figo na vingine kwa visingizio kwamba viungo hivyo ni vibovu .

Mfano halisi ni wa mama mmoja ambaye aliambiwa figo yake ni mbovu Hapa
Tz akatakiwa kwenda Kanada kwa matibabu hayo bure alipofika huko siku
ya kufanyiwa upasuaji yule daktari hakufika kwa bahati nzuri
aliyeingia zamu akamwambia hakuwa na tatizo la figo – kama ingeendelea
ina maana figo yake ingebadilishwa .

Uchunguzi Bado unaendelea lakini habari hizi ni za kusikitisha na
kutisha sana napenda kumwomba Dr Mabula ambaye amewahi kuweka Tangazo
la kutaka watoto kwenda kutibiwa Nchini Kanada Kwenye Mtandao huu na
mengine atupe ufafanuzi kidogo Jinsi wao wanavyofanya .


Jamani nimeletewa hii habari kwenye Email yangu.Nawaomba muichunguze kwa makini Je ni ya kweli? au Uongo?
 
mh wanaweza hawa watu binadamu wamebadilika vsana
 
Ooooh!, this might have some thruth in it. Nchi za magharibi watu wanakuwa kwenye waiting list ya kidney replacement for years. And they pay a lot of money for treatment. kuna msemo usemao "nothing goes for nothing", enzi zetu tukiwa wadogo kulikuwa na wale "nyonya damu" MUMIANI, ninahisi mumiani wamerudi kwa style hii mpya sasa. Serikali yetu ipo wapi?, hili si suala la wizara ya afya ni suala la TISS kama kweli nchi inajali na kulinda raia wake!
 
Back
Top Bottom