Mkuu fuata ushauri wa MR @rikiboySalamu Madakitari wa JF. Ninaomba kujuzwa: Pamoja na kufanya Mazoezi, ni chakula gani na Tiba asili ipi ninaweza kutumia ili kupona na kuepuka BP bila kulazimika kutumia madawa makali yenye chemical yanayoweza kusababisha tatizo lingine la Figo?
Ninaomba Msaada
...Ni High.. Vipimo vya Mara ya mwisho Wiki kama Tatu zilizopita ni 149/90...na imekuwa inazungukia hapo. Haipandi sana zaidi ya hapo wala haishuki sana zaidi ya hapo.Tatizo lako n lipi hasa?? High blood pressure ama low blood pressure??...na itakua vyema kama ukitupa na vipimo vyako 3 vya pressure mara ya mwisho umepima. Tuanzie hapa kwanza
walikuambia pressure yako inasababishwa na nini, umepima figo?...Ni High.. Vipimo vya Mara ya mwisho Wiki kama Tatu zilizopita ni 149/90...na imekuwa inazungukia hapo. Haipandi sana zaidi ya hapo wala haishuki sana zaidi ya hapo.
... walisema inawezekana ni umri tu (61) ambapo ndio imeishakuwa kama ndio BP yako ya kawaida, na uzito ( 91 )....figo IPO fit maana sijapata kuona chochote ambacho kingenipa wasiwasi kuhusu huko....walikuambia pressure yako inasababishwa na nini, umepima figo?
Chanzo cha hilo tatizo la BP ni nini?Salamu Madakitari wa JF. Ninaomba kujuzwa: Pamoja na kufanya Mazoezi, ni chakula gani na Tiba asili ipi ninaweza kutumia ili kupona na kuepuka BP bila kulazimika kutumia madawa makali yenye chemical yanayoweza kusababisha tatizo lingine la Figo?
Ninaomba Msaada
BP kuiepuka ni rahisi.. Epuka uzito mkubwa kwa kulaa vyakula visivyo na mafuta...epuka kula ovyo ovyo..achana na sigaraa na pombe iliyozidi..fanya mazoezi lakini kikubwa KATAA STRESS. ukiweza kufata haya BP haitakupata lakini kikubwa ni kuepuka msongo wa mawazo.
Punguza kuchukulia kila kitu serious...!! Penda kushirikisha na kuongea na watu juu ya matatizo yanayokuface usiweke vitu moyoni.Mtu anawezaje kuepukana na msongo wa mawazo?
Mkuu rikiboy pombe isiyozidi una maanisha nini?BP kuiepuka ni rahisi.. Epuka uzito mkubwa kwa kulaa vyakula visivyo na mafuta...epuka kula ovyo ovyo..achana na sigaraa na pombe iliyozidi..fanya mazoezi lakini kikubwa KATAA STRESS. ukiweza kufata haya BP haitakupata lakini kikubwa ni kuepuka msongo wa mawazo.
Umeni pm afu umefunga pmMkuu rikiboy pombe isiyozidi una maanisha nini?
Sijafunga kaka wala sijui namna ya kufunga na nimechati pm na wadau nipo mkuuU
Umeni pm afu umefunga pm