J Joyceline JF-Expert Member Joined Jan 9, 2009 Posts 1,010 Reaction score 167 Sep 28, 2011 #1 Ni tiba gani inaweza kutumika kwa jipu lililochimbika kutokana na maumivu makali halikuweza kukamuliwa likaisha, kuna tiba yoyote ya kukausha bila kukamua?
Ni tiba gani inaweza kutumika kwa jipu lililochimbika kutokana na maumivu makali halikuweza kukamuliwa likaisha, kuna tiba yoyote ya kukausha bila kukamua?
feis buku JF-Expert Member Joined Aug 29, 2011 Posts 2,341 Reaction score 677 Sep 28, 2011 #2 jamani ww c uende hospitali!!! ama !!