Matibabu ya Keloid

Matibabu ya Keloid

Kecha Boksi

Member
Joined
Nov 5, 2010
Posts
55
Reaction score
109
Habari wana JF?

Ni mara yangu ya kwanza kuanzisha uzi humu, ila ni mfuatiliaji mzuri wa JF .:wave::wave::wave:

Naomba msaada wa kujua ni hospitali ipi / zipi kwa hapa Tanzania wanatoa matibabu ya Keloid (abnormal scar). Nipo mkoa wa jirani na Dar ila nina uwezo wa kufika hospitali yeyote kwa kadri ya ushauri wenu.

Natanguliza shukrani.
 
Wataalam wa tiba mbona hamnisaidii jamani?

Nasubiri ushauri wenu.
 
Asante mkuu Evarm.

Wanasema subira yavuta heri, ngoja niendelee kusubiri zamu yangu ya kuhudumiwa.
 
Ocean Road hospital au mtafute Dr TUPA Muulizie pale ocaen Road au Muhimbili atakusaidia au ukitaka ni pm
 
Back
Top Bottom