Habari wana JF?
Ni mara yangu ya kwanza kuanzisha uzi humu, ila ni mfuatiliaji mzuri wa JF .:wave::wave::wave:
Naomba msaada wa kujua ni hospitali ipi / zipi kwa hapa Tanzania wanatoa matibabu ya Keloid (abnormal scar). Nipo mkoa wa jirani na Dar ila nina uwezo wa kufika hospitali yeyote kwa kadri ya ushauri wenu.
Natanguliza shukrani.