M Mrekebishaji Senior Member Joined Mar 19, 2009 Posts 168 Reaction score 63 May 1, 2011 #1 Ndugu zangu, Naomba msaada wa vitu gani ni muhimu kwa chumba cha kufanya uchunguzi wa macho ya uoni hafifu kiastahili kiwe(necessities for Low Vision Test room to be). Naombeni ushauri. namaanisha mwanga pengine uweje, je mapazia meusi au meupe.
Ndugu zangu, Naomba msaada wa vitu gani ni muhimu kwa chumba cha kufanya uchunguzi wa macho ya uoni hafifu kiastahili kiwe(necessities for Low Vision Test room to be). Naombeni ushauri. namaanisha mwanga pengine uweje, je mapazia meusi au meupe.
GABLLE Member Joined Jan 29, 2011 Posts 59 Reaction score 7 May 4, 2011 #2 Ndugu yangu nafikiri kwa wale madaktari wa macho ndiyo wanajua chumba hicho kiweje. Unataka ukijua uanze kuchakachua kutibu wagonjwa wa macho bila kufuzu?? Mwombe RIWA atakupa ushauri tafadhali.
Ndugu yangu nafikiri kwa wale madaktari wa macho ndiyo wanajua chumba hicho kiweje. Unataka ukijua uanze kuchakachua kutibu wagonjwa wa macho bila kufuzu?? Mwombe RIWA atakupa ushauri tafadhali.