MATIBABU YA TATIZO LA UVIMBE KWENYE INI(heterogenous mass)

dangadunguri

JF-Expert Member
Joined
Jul 31, 2015
Posts
1,276
Reaction score
1,309
Salaaam wanabodi. Poleni na kukura kakara za hapa na pale.

Mada: Nipo na mdogi wangu amepata tatizo la uvimbe kwenye ini. Alianza kujisikia kama uzito flani kwenye tumbo na baada ya kuona tatizo tukaenda hosp moja kubwa tu hapa town ya private, akaambiwa afanye OGD, na baada ya majibu akaambiwa anauvimbe kwenye tumbo, akapewa dawa.

Jamaa akatumia dawa lakini wapi. Tunakaenda hospitali nyingine akafanyia Ultrasound ndio tukaambiwa jamaa ana uvimbe (mass) kwenye ini. Huo ni mwezi umepita. Tukasogezwa kwa specialist wa Gastro... Clinic.

Dokta akasema tukafanye CT ABD, ikafanyika, majibu yakatoka yaleyale ya uvimbe. Heterogenous mass. Lakini bado dk amependekeza jamaa achomwe sindano kwenye mapafu na ini ili kipatikane kipimo cha damu sasa. Dogo hoi.

Maombi: Kama mnaweza kunielekeza kwa dokta mzuri wa haya maradhi nitashkuru sana. Sina maana kwamba huyu ni mbaya ila tunataka kupata consultation kutoka kwa wabobezi ambao sisi hatuwajui.
 
Poleni sana, Mkuu vipi ukijaribu Hospitali ya Taifa??
Nashkuru mkuu kwa ushauri. Ningepata pia mtu wakunidirect kwa dk ambaye ni specialist nikaonana naye ingekuwa safi sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…