Matiko atimkia CCM, achukua fomu kuwania ubunge jimbo la Tarime mjini

DuaZaMama

JF-Expert Member
Joined
Jun 2, 2025
Posts
1,882
Reaction score
4,153
Mbunge wa Viti Maalum, Esther Matiko leo Jumapili Juni 29, 2025 ametangaza kujiunga na Chama cha Mapinduzi (CCM) na kuchukua fomu ya kugombea ubunge Jimbo la Tarime Mjini.

Endapo atafanikiwa kupitishwa na CCM na kufanikiwa kushinda uchaguzi, hii itakuwa ni mara ya pili kuongoza jimbo hilo ambapo mara ya kwanza alikuwa mbunge wa Tarime Mjini kupitia Chadema mwaka 2015-2020.

Your browser is not able to display this video.
 
Anayo miaka mingapi ndani ya chama chake kipya?
 
Hili ni jambo zuri sana. Tunataka wote watimkie CCM walitafunane kama mafisi kwa ukali zaidi. Kwa vile wananchi bado tumelala, hawa watafanya mkorogano ndani ya CCM uwe mkali.
 
Huyu ni yule demu anayeliwa na Salum Mwalimu?
Ameogopa kwenda CHAUMA ambapo alianza kupapigia debe?

Huyo akipata hata robo tu ya kura za wajumbe wa CCM nipigwe ban hapa JF.
Na akipitishwa na Ccm niitwe mwendawazimu.
Anapoteza muda wake tu hapo.
CCM ina wenyewe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…