Matiti kutoa maziwa.....

sasa we husninyo ukishangaa mimi nitafanyaje??ushauri plz

nimemshangaa huyo mtu anayesema habari za ku do. Wengine huwa tunamaliza hata miaka 3 bila hayo mambo na hatupati matatizo yoyote. Nashauri waone wataalam mpendwa.
 

asante sana. copy kwa miss strong. mia
 
Last edited by a moderator:
cc miss strong. mia
 
Last edited by a moderator:
Nimatumaini yangu wanajukwaa wote mko wazima wa afya njema.
Hivi majuzi nilitembelewa na rafiki yangu wa kike na katika mazungumzo yetu aliniambia kuwa kwenye matiti yake kuna majimaji yanayotoka na yanavutika akiyabinya, na huwa yanawasha kwenye chuchu. Sikuweza kumwambia chochote zaidi ya kumshauri aende hospitali akapime, pamoja na kumshauri hivyo hakuweza kwenda hospitali kwa kuwa alirejea chuoni ambako anakaa bweni.
Je! Kwa hili tatizo inawezekana ana mimba changa au ni ugonjwa?
 
Aiende hospital haraka,, ikibidi awatafute madaktari wa mewata
 
Inategemeana pia kama alishawahi kutoa mimba ovyo ovyo..aende tu hosptali aisee
 
Muda mwingine kuwa na nyege za muda mrefu zinachangia Sana
 
Kuna rafiki yangu alikuwa na tatizo hilo.alichoambiwa hospital ni kuwa alikuwa na hormone imbalance kwa hiyo akawa anazalisha prolactin hormone nyingi kwenye mwili japo hakuwa na mimba.so walimpa dawa za kuadjust hormone zake.na sasa tatizo limeisha.
 
Kuna rafiki yangu alikuwa na tatizo hilo.alichoambiwa hospital ni kuwa alikuwa na hormone imbalance kwa hiyo akawa anazalisha prolactin hormone nyingi kwenye mwili japo hakuwa na mimba.so walimpa dawa za kuadjust hormone zake.na sasa tatizo limeisha.


Ujumbe imefika, nitafanya juhudi nimhimize awahi mapema hospitali.
 
Jamani habarini...hali ya matiti kutoa majimaji kama maziwa husababishwa na nini na tiba yake ni nini??
 
kama hujatoa mimba,basi una cancer..
Wahi hosptl ocean road kwa vipimo fasta
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…