Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hello wana JF!
My wife wangu ameamuwa kumuachisha mtoto kunyonya baada ya kukataa kula chakula huku aking'ang'ania nyonyo tu. Ana mwaka na miezi mitatu. Tatizo maziwa ya Mama yake yamevimba na yanauma sana. Kuna tiba? Help please!
...Mwambie ajaribu kuyakamua ili kupunguza maziwa yaliyomo hii itasaidia kupunguza maumivu, labda afanye mara mbili kwa siku asubuhi na jioni...ila sijui kama kuna tiba ya hili.
Best, akifanya hivi akiacha yatauma tena upya.
kwa nini mtoto asiendelee kunyonya huku akishawishiwa kula chakula? Huu u-dot com! Wengine tumenyonya hadi tumeanza shule, ukigoma kuenda shule unatoshiwa utamyimwa nyonyo,lol
They do help as they relax the nerves ambazo zinakuwa pressed na mammary ducts zilizojaa madhiwa. Akivumilia kwa kiasi na kunywa dawa itaisha baada ya maziwa kuacha kutengenezwa....Ni kweli Best....Nadhani anatakiwa afanye hivi kwa kwa wiki au hata siku 10 au avumile maumivu baada ya muda yatapotea. Sijui kama dawa za kupunguza maumivu zinasaidia kwenye hili...
They do help as they relax the nerves ambazo zinakuwa pressed na mammary ducts zilizojaa madhiwa. Akivumilia kwa kiasi na kunywa dawa itaisha baada ya maziwa kuacha kutengenezwa.
Hello wana JF!
My wife wangu ameamuwa kumuachisha mtoto kunyonya baada ya kukataa kula chakula huku aking'ang'ania nyonyo tu. Ana mwaka na miezi mitatu. Tatizo maziwa ya Mama yake yamevimba na yanauma sana. Kuna tiba? Help please!