Matiti kuwasha mpaka kuleta mchubuko kwenye chuchu

Matiti kuwasha mpaka kuleta mchubuko kwenye chuchu

Scovyboo

Member
Joined
Aug 6, 2018
Posts
33
Reaction score
36
Habari zenu,

Kuna huu ugonjwa unanisumbua, matiti yanawasha na mpaka kuleta mchubuko kwenye chuchu.

Nimeenda Ocean Road wamesema ni magonjwa ya ngozi, watu wananiambia huu ugonjwa unaitwa kiguma kwa wapare na wamasai na wasambaa ndo wanajua dawa yake hivyo naombeni kama kuna mtu anajua wapi nitapata hizo dawa za mitishamba anisaidie.
 
pole sana mkuu endelea kutafuta dawa usichoke
 
ITAKUA NYEGE... NITAFUTE NIZINYONYE NA KUZICHEZEA UTAPONA
 
kuna wanaume wanajua kuchezea maziwa mpaka maumivu kwa mabinti.
 
Back
Top Bottom