BADILI TABIA
JF-Expert Member
- Jun 13, 2011
- 32,767
- 23,198
je hayanyonywiiiiii???na kutomaswa tomaswa????na kuminywaminywaaaaaaa.......
je hayanyonywiiiiii???na kutomaswa tomaswa????na kuminywaminywaaaaaaa.......
kumbe yakinyonywa na kutomaswa ndo yanakuwa mali ya mwingine?
Mmmmmmmmmh.....
Then,
it means.....
Dushelele ni mali ya mke? Maana nayo inanyonywa mpaka inatapika, inatomaswa na kushikwashikwa ....l
loh.....
Nimechoka.....
si mpaka akuruhusu????????????
Ni mali yangu, hao wengine nawapa msaada tu!:lol:
mie yangu ni mali yangu ila kwa kuwa yakishikwa yananipa raha,nadhani tuko 50 -50 ownership na mume,lol sitanyonyesha so mtoto hana chake....:A S cry:
Wewe hukunyonya kwa mama yako?.,usiwe mbinafsi hivyo.
unaweza ukaandika hapa the way u wish,ila wakat mwanaume anautumia mwili wako unaweza usijue kama anautumia,ndo tulivyo wanaume
nilinyonya wakati ule,ambao choice zilikuwa chache...siku hizi maziwa na vyakula vya watoto vimejaa kila kona,kunyonyesha ni choice yako mwenyewe sio must.
Nadhani Kongosho atakuwa na mchang mzuri kwenye huu mjadala.