Matiti ni Mali ya nani?

Unadhani hizo choice zilizopo zinalingana na maziwa ya mama?
]

watu wamekuwa na hayo hayo maziwa,wewe kama utanyonyesha ni wewe,mie sinyonyeshi na hamna mtu wa kuniconvice tofauti:sleepy:
 
Misijui????ila huwa ananiambiaga Baba Yu,mbakishie mtoto chakula chake
 
je hayanyonywiiiiii???na kutomaswa tomaswa????na kuminywaminywaaaaaaa.......

Kwani kufanywa hivyo ndiyo kunahalalisha ni mali ya mwingine? kwahiyo na K ni mali ya mwanaume?? na kina dickson ni mali yetu wanawake? come on mkuu!

Kila kiungo kilicho kwenye mwili wangu ni mali yangu..
 
si mpaka akuruhusu????????????

Kuna stage Neema ikifika huwa mambo mengine huwa yanatokea automatic bila mwenye maziwa kujishitukia maana jamaa linaanza kupapasa sehemu zingine za mwile linakuja kunyonya shingo unashitukia limehamia kwenye matiti na likitaka kutoka unashangaa unalishika kumrudisha aendelee
 
Last edited by a moderator:
nilinyonya wakati ule,ambao choice zilikuwa chache...siku hizi maziwa na vyakula vya watoto vimejaa kila kona,kunyonyesha ni choice yako mwenyewe sio must.[ /color]

hoteli ya mtoto ni MAZIWA YA MAMA,kunyonyesha ni Must
 
mwambie huyo,,,,utam ukikolea????hapa anajibu hivo kozi ana akili zake ambazo amechanganya na za mbayuwayu,,,,sasa akibakia na zake.........
 
Last edited by a moderator:

huyo ni mwehu na hafai kabisaaaa,,,,anapaswa kukimbiwa
 
Kwani kufanywa hivyo ndiyo kunahalalisha ni mali ya mwingine? kwahiyo na K ni mali ya mwanaume?? na kina dickson ni mali yetu wanawake? come on mkuu!

Kila kiungo kilicho kwenye mwili wangu ni mali yangu..

maandiko yanasema mkioana mnakua mwili MMOJA
 
mwambie huyo,,,,utam ukikolea????hapa anajibu hivo kozi ana akili zake ambazo amechanganya na za mbayuwayu,,,,sasa akibakia na zake.........
Bajabiri kuna kipindi mtu anavutwa na kung'ang'aniwa sasa sijui muda wa kuomba ruhusa sijui unapatikana saa ngapi
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…