Bajabiri kuna kipindi mtu anavutwa na kung'ang'aniwa sasa sijui muda wa kuomba ruhusa sijui unapatikana saa ngapi
inawapasa watengeneze vibali vya kunyonyea maziwa viitwe suck permit,,,,au suala la mwanaume kunyonya ze chuchuz au lah,,,liwekwe kwebye katiba mpya
jitahidi kunyonyesha dadangu,,,,kama ya kulala yatala tu,,,maziwa ya mama yana faida sana,,,,,kama ulinyonyeshwa nawe nyonyesha
nope,sorry,watu kibao wamekuwa wakubwa bila kunyonyeshwa...
Matiti sio mali ni kiungo tuu kama mguu, mkono au kichwamatiti ni mali ya serikali.
Matiti sio mali ni kiungo tuu kama mguu, mkono au kichwa
Afazali wewe hadi namuonea wivu mumeomie yangu ni mali yangu ila kwa kuwa yakishikwa yananipa raha,nadhani tuko 50 -50 ownership na mume,lol sitanyonyesha so mtoto hana chake....:A S cry:
ThubutuuuMatiti sio mali ni kiungo tuu kama mguu, mkono au kichwa
mie yangu ni mali yangu ila kwa kuwa yakishikwa yananipa raha,nadhani tuko 50 -50 ownership na mume,lol sitanyonyesha so mtoto hana chake....:A S cry:
Matiti ni mali ya mme mana kisha yalipia mahari...Akiyanyonya sawa, akiyashika shika sawa akiyauma uma sawa akiyabinya binya swa.
matiti mali ya familia.
Safi kabisa, usikubali mtu aucontrol mwili wako or kukulazimisha uubadilishe ili uwe kama anavyopenda yeye, mbona yeye humlazimishi ajibadilishe awe kama unavyopenda wewe, nawashangaa kweli hao Wanaigeria, eti matiti ni mali ya Mume wangu, wapuuzi kweli, hata nikupende vipi hutautawala mwili wangu, hutautumia utakavyo wewe, au kutaka niubadilishe utakavyo wewe na mwili wa binadamu hasa ni God's temple, kuna hata wimbo wa Dini sikumbuki jina la muimbaji but ni from USA unasema My Body is God's Temple, but wengi wetu tunaitumia miili yetu kwa kuendeshwa na shetani
nope,sorry,watu kibao wamekuwa wakubwa bila kunyonyeshwa...
Neema unaogopa yatalala.... hahaha bin adamu tuazeeka kulala ya talala tu .. mpe mtoto haki yake ... virutubisho vya ziwa la mama nitofauti na haya ya kutengenewa viwandani ...
Huwa sipendi kutoa siri za dani lakini naona kama umeisha jua nacho kifanya.dah,,,umenena mdau,,,hope hayo yote huwa wayafanya
Huwa sipendi kutoa siri za dani lakini naona kama umeisha jua nacho kifanya.
Nipples sexually speaking are erogenous zone ie sensitive to sexual stimulation. Swali, je mtoto anaponyonya mama husikia utam tam? Forgive my curiosity.
Matiti sio mali ni kiungo tuu kama mguu, mkono au kichwa