Sweetness upo?
kuanzia sasa ni mkataba mzee..
borea nianze kukufundisha mdogo mdogo sasa...
sema muheshimiwa mbona umepotea
umetuacha kwenye mitaa kabisa yaani ..
vipi mzima??
babu hafundishwi namna ya kutumia matiti. habu yalete huku kwa ajili ya matumizi ya babu.
Huku ni ulanzi tu habari ya matiti ni nyie wa born town..
Nilikuwa nimeenda kumsikiliza mkwere kama atanipa uwaziri nimekwama kwahiyo nimeamua kurudi
aaa bwana pole sana yaani
ila usijali kwasababu utakuwa Waziri wetuu hapa
kwa miaka yote inayokuja.....:A S crown-1:
vipi mambo mengine ??
sisi bado tunagombaniana matiti ni mali ya nani.. lol
babu hafundishwi namna ya kutumia matiti. habu yalete huku kwa ajili ya matumizi ya babu.
Naona Babu anasisitiza kuwa ni mali yake anazeeka vibaya kila kitu ni mali yake hadi vya wa wajukuu ni mali yake
babu we hata huna meno ..
hiyo itanitisha ...
I am still waiting to be banned by Maty:teeth:
borea hata umerudi muheshimiwa unisaidie kidogo..
maana naona babu zimeanza kumruka kidogo....
tulisha kubaliana fresh lakini sasa naona kasahau tena.
babu we hata huna meno ..
hiyo itanitisha ...
Sijawahi kumchunguza kama hana meno leo itabidi nikae nae ili nimuone vizuri
hey please can u please just forget it please...
Matiti hayahudumiwi kwa meno.......
aha bwana usijenifanya nirudi nyumbani bwana..
nimekuachia kazi ya kumtunza babu ...
halafu hujui hata hana meno....
mpaka mjirani wananiambia .. hivi kweli..
ndo maana akili zinamruka lol