Matiti yanapokuchungulia kwa kuibiaibia.......

Kwa hiyo Ruta weye wapendelea cleavage inayochungulia kwa kiasi au sana? maana saa zingine unaeza katiza mtaani unakutana na shosti kanyanyua maziwa karibia yafike kidevu :biggrin:
 
Matiti ya kuchungulia kwa kuibia ibia YANATEGA kweli dah!
 

sasa ona huyu the dress is lovely ila hapo kifuani...ni kaficha ile sehemu ya maziwa yenyewe kikitokea cha kutokea na kuanza kutimua mbio lazima maziwa yachomoke kwenye nguo...tuna kazi kwelikweli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…