Matiti

Chocs

JF-Expert Member
Joined
Aug 21, 2012
Posts
8,411
Reaction score
4,777
Habari

Nina tatizo la matiti {yote mawili} kuhisi yamekuwa mazito na yanauma kwa kuvuta na kuacha..nikivua braa nahisi yanadondoka kwa maumivu ninayopata. Nilidhani ni kawaida ila mbona hayaponi...ni tatizo au ni mfumo tu wa hormones umebadilika pia nikiminya minya nahis maumivu na wakati wa kuoga shurti nioge kwa adabu nikigusa vibaya naweza hata kulia.

Ushauri tafadhali
NB: Siku ya 4 sasa
Sina ujauzito na wala sipo kwenye ovulation
Mzunguko wangu ni mrefu wa siku 30
 
Isije ika wa mara ya mwisho kuyashikashika alifanya kama anakamua ya ng'ombe..
 
Itakua changes za hormones tu. Hata mm wakati mwengn hinitokea ivo, lkn nimepeleleza hua ni dalili za period hata kama bado kwa wk 2. Yanauma kwa kweli, basi ukivua sidiria ndo unaupata utamu haswa. Ila km una wsws nenda kamuone Dr kwa ushauri zaid
 
Mhhh hapana mbali sana,last week ndo nimemaliza

Okay,

Wanawake wengi nadhani huwa wanakutwa na hali kama yako...

Ni maumivu ambayo hufanana kwa kiasi fulani na vile matiti huuma kabla au baada kidogo ya menstruation

Pia hali hiyo hutokea siku chache baada ya mwanamke kupata ujauzito, yaani pengine kuanzia siku 5 au zaidi...

Kwa kawaida hiyo hali huitwa mastalgia na huweza kuja kufuatana na mtiririko wa mzunguko wenu wa mwezi au lah...

Sababu kubwa ni mabadiliko ya umwagaji wa vichocheo "hormones" ndani ya mwili...
 
Mhhh hapana mbali sana,last week ndo nimemaliza

Na kwa aina ya maumivu uliyonayo, pasi na shaka utakuwa na umri chini ya 30...

Maana aina hii ya maumivu pia hugawanyika kulingana na umri wa mwanamama...
 
Yap ni kweli nipo kwenye twenties...ina mana unataka kusema kua ni kawaida nisiwe na wasi?
 
Thank in advance watu8...so itaisha tu yenyewe,eti?
 
Last edited by a moderator:
Itakua changes za hormones tu. Hata mm wakati mwengn hinitokea ivo, lkn nimepeleleza hua ni dalili za period hata kama bado kwa wk 2. Yanauma kwa kweli, basi ukivua sidiria ndo unaupata utamu haswa. Ila km una wsws nenda kamuone Dr kwa ushauri zaid
Asante kwa ushauri mamiii
 
If pains persist try using Bromocriptline it regulates hormanal levels. Best wishes, get well soon.
 
Mi nipo serious, najaribu ku-explore possible reasons.... Sasa wewe kama una sababu halisi si useme ili uwasaidie wengine..??
Sababu hakuna mpendwa na ndo mana nimejitahidi kujieleza kwa madaktari
 
Napenda sana maziwa mtindi ila nakula mboga za majan hasa tembele na mnavu,situmii cofee wala kilevi chochote ie sigara na pombe...au nyama choma yenye mafutafuta labda inasababisha

Nitayakandakanda leo labda itasaidia japo yanauma

Nimejitahidi kukisoma kingeredha watu8,nashukuru sana ubarikiwe
 
Last edited by a moderator:
Sababu hakuna mpendwa na ndo mana nimejitahidi kujieleza kwa madaktari

Tatizo la imbalance virutubisho vya mwili tu!Sio issue hata kidogo!

Tatizo likiendelea ni PM tufanye demo kwa vitendo!
 
ppole sana mdada nenda ocean road kacheki kansa ya titi aisee..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…