Matiti

ppole sana mdada nenda ocean road kacheki kansa ya titi aisee..
Asante kwa ushauri, japo wanasema kansa hua haiji na maumivu kwa dalili zake...ila asante ntaufanyia kazi ushauri wako
 
Asanteni sana kwa ushauri
 
Tatizo la imbalance virutubisho vya mwili tu!Sio issue hata kidogo!

Tatizo likiendelea ni PM tufanye demo kwa vitendo!
Asante mkuu,kwanini mpaka pm,tufanye hapa kwa faida ya wengine pia
 
Kuna mdada wa Dar alienda Mbeya akaonyeshwa shamba la viazi mviringo.....akaambiwa zile chips mnazokula Dar zinatokana na hili zao........Mdaa akohoji........KWA HIYO HII NDIYO MICHIPSICHIPSI?
 
mara ya mwisho kufungua kitabu kikasomwa ilikuwa lini? au kina muda mrefu hakijasomwa?
 
ppole sana mdada nenda ocean road kacheki kansa ya titi aisee..

Mkuu hilo linawezekana lakini katika maelezo yake angalia kaandika kuwa ni matiti yote mawili na wala sio moja...(ambapo kwa scenerio kama hiyo walau tuna-rule out uwezekano wa breast cancer at first)
 

Hi Chocs ....Its not normal to experience such severe pain for 4 consecutive days to the extent that you even afraid to touch your breasts. Minor to moderate pain can be normal but severe pain is abnormal. Probably there is some infection developing, I suggest you should see your doctor for proper investigation and treatment if needed, before it is too late!
 
Asante mkuu,kwanini mpaka pm,tufanye hapa kwa faida ya wengine pia

Hapa haiwezekani kufanya demo maana huko PM tunaweza demostrates hata kwa kutumia skypes;lk kumbuka hii ni incase kama bado unaumwa!If you feels ok now disregard my request!
 
Usijali shemeji...

ukiwa huna pesa warembo wote wamjini utawaita shemeji.hahahahaha am jst kidin lakini.
kwa upande wa Chocs me nadhani angeenda kwa Dr kupata ushauri wa uhakika zaidi maana hii miili ya kike ni very complicated unaweza dhania hivi kumbe kuna tatizo linazidi kudevelop tu
 
Usiparamie mambo yasiyokuhusu wewe kinyangarika...

 
pole mpendwa,,...kama maumivu yamezidi ni vema ukamuona daktari
 
I do appreciate your good intentions and thank you so much for your concerns md4doctor2000 Marnah mtoto matataa kabanga Malafyale kumbe wataka tuskypike,wewe ni daktari? coz mficha maradhi kifo humuumbua

Nimemwona daktar leo,ameyatizama na tukaongea kirefu kuhusu mzunguko wangu wa hedhi, jibu ni kwamba this is hormonal imbalance, so nimepewa dawa za kupunguza maumivu pia nimeambiwa nisibane sana matiti (nisivae bra au nivae ambazo ni loose kidogo but muda mwingi niyaache huru) wala nisiyaminye minye na nijitahidi kula mlo kamili....Nawashukuru sana
 
Last edited by a moderator:

ameyaonaje? alivaa miwani? aliayashika?
 
pole my dia,hy hali ilinikuta asikuambie mtu maumivu yake,ila sasa yamepona kabisa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…