Sky Eclat
JF-Expert Member
- Oct 17, 2012
- 57,761
- 216,011
Mchanganyiko wa udongo na mchanga hutoa matofali bora sana. Matofali haya huboreshwa kwa kukiwa. Ili kupata matokeo bora matofali haya huwa ni madogo ili kurahisisha uokaji.
Nimekuelewa, nimeona documentary moja jamaa amejenga nyumba kutumia udongo na mchanga . Anasema hata wakati wa jua kali kuta zina nyonya joto la jua na usiku kukiwa na baridi kuta zina zinakua bado na joto la mchana mpaka alfajiri.Sina habari za kitaalam au utafiti wa kuthibitisha hilo lakini nijuavyo, tofali za udongo zinadumu sana kuliko za Saruji, nafikiri hii ni kutokana na saruji kutengenezwa na kemikali ambazo baada ya muda huisha nguvu na kupunguza ubora wa tofali za saruji tofauti na udongo usio na kemikali.