Matokeo ya Kidato Cha sita waliomaliza mitihani yao mwezi februari mwaka huu,Yanatarajiwa kutolewa rasmi kesho kwa Mujibu wa taarifa zilizotufikia toka chanzo chetu cha habari Kutoka Baraza la mitihani la Taifa~NECTA.Hizi ni habari zilizo tufikia hivi punde