Ta Muganyizi
R I P
- Oct 19, 2010
- 5,355
- 2,736
Jamani kama kuna mwana Jf aliyeko Uganda na anausikilia mpira Kati ya Uganda na Tanania atujulishe jinsi hali inavyokwenda. Binafsi naelekea Karagwe hivyo njiani redio a uganda hazishikiki mpaka nifike kama kunaliyeko karibu atuambie jamani.