Ta Muganyizi R I P Joined Oct 19, 2010 Posts 5,355 Reaction score 2,736 Apr 16, 2011 #1 Jamani kama kuna mwana Jf aliyeko Uganda na anausikilia mpira Kati ya Uganda na Tanania atujulishe jinsi hali inavyokwenda. Binafsi naelekea Karagwe hivyo njiani redio a uganda hazishikiki mpaka nifike kama kunaliyeko karibu atuambie jamani.
Jamani kama kuna mwana Jf aliyeko Uganda na anausikilia mpira Kati ya Uganda na Tanania atujulishe jinsi hali inavyokwenda. Binafsi naelekea Karagwe hivyo njiani redio a uganda hazishikiki mpaka nifike kama kunaliyeko karibu atuambie jamani.
Ta Muganyizi R I P Joined Oct 19, 2010 Posts 5,355 Reaction score 2,736 Apr 16, 2011 Thread starter #2 Tumechapwa. Uganda 2 - 1 tanzania