Matoke ya kidato nne

cantonna

JF-Expert Member
Joined
Mar 11, 2013
Posts
1,120
Reaction score
439
Kwa kweli wizara ya elimu inapaswa kuwajibishwa...hv hil kund la wanafunz waliofeli watapelekwa wapi?
 
Kwani wizara ndiyo imewafelisha? Kilichotokea sio kuwa wamefelishwa ila ni mambo ya grading system lakini kufeli kuko palepale!! Na ninavyojua ukisha toa matokeo huwezi kubadili kitu nasubiri nione impact ya hii anomaly!!
kwa kweli wizara ya elimu inapaswa kuwajibishwa...hv hil kund la wanafunz waliofeli watapelekwa wapi?
 
Serikal yetu imeingiza siasa had kwenye elimu, je tutafika?
 
hivi hi serkal inataka itupele wap sis wasom? matokeo mpaka leo hawajatoa,posts cjui watatoa lin? result slip?,mda wa kujiandaa uko wap kwa form 4?,mtu mayb ni wa kigoma au bukoba af akapangwa lind au mtwara huo mda wa kujiandaa fasta fasta uko wap? JAMAN WATOE MATOKEO NA POST HARAKA KABLA YA WA6,WAT WAJIANDAEE,by pascal nashokigwa wa kibaha mailmoja
 
Nasikia Matokeo ya Kidato ch Nne yatakuwa Hewani Baada ya Bunge kuisha.
Na inasemekana kinachosubiliwa ni Bajeti ya Wizara ya Elimu isomwe Bungeni so Madogo kuweni wapole tu na suala la kujiandaa na Form five watatoa BOOM kwa kila Mfaulu wa Form four
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…