Matoke yangu yamezuiliwa, Taratibu Zikoje ili yafunguliwe?

Matoke yangu yamezuiliwa, Taratibu Zikoje ili yafunguliwe?

Joined
Feb 7, 2014
Posts
5
Reaction score
2
Wana jf habari ,

Napenda kuelimishwa juu ya kufunguliwa matokeo yaliyozuiliwa, hatua zikoje pamoja na gharama zake?

Nitashukuru.
 
Ndio wewe uliye chora freemason tunakutafuta sana embu fanya kuja.
 
Wana jf habali ,

napenda kuelimishwa juu ya kufunguliwa matokeo yaliyozuiliwa, hatua zikoje?,
pamoja na gharama zake.

Nitashukuru.

Umeelezwa kuwa yamezuiliwa kwa sababu gani!?? Hukulipa ada ya mtihani!??, Je ni continous assessment hazikupelekwa or what, Kwenye mtandao wa NECTA wameainisha kwa alama sababu za kuzuiwa matokeo, tuanzie hapo kwanza.
 
Sababu za matokeo yako kuzuiliwa?
 
ameandikiwa hivi?, *E, mbele ya jina lake hala kwa juu kabisa kabisa kuna neno kama hili, withheld
yaani , hayaonekani?< sijui ndio kuzuiliwa au sijui nisemeje?, nimechanganyikiwa.
 
ok, ukiangalia necta, Wameainisha hivi:

*E Results withheld, pending proof of candidates payments of requisite Examination fees.

Hivyo nadhani yatakuwa yamezuliwa kwa sababu hiyo, japo ada nililipa
 
Back
Top Bottom