Zuia Sayayi
JF-Expert Member
- Mar 28, 2011
- 841
- 134
Matokeo nackia yameungua na kwa sasa wanatafuta namna ya kuya buni ili wayatoe feki watangalia continous assesment. Za shulen kwao
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sijui umesikia kwa nani hizo taarifa, jamani kama huna data za kutosha unatulia!! siyo kutoa taarifa zisizo na mashiko.
nimeambiwa na jamaa 1 hv, yuko pale baraza cheo chake ni Afisa habari wa baraza lkn ni siri.
inashangaza baraza wamepiga cm shuleni kwety wakiomba tuwatumie continous assesment za fom 4 2011 kesho