Zuia Sayayi
JF-Expert Member
- Mar 28, 2011
- 841
- 134
Sijui umesikia kwa nani hizo taarifa, jamani kama huna data za kutosha unatulia!! siyo kutoa taarifa zisizo na mashiko.
nimeambiwa na jamaa 1 hv, yuko pale baraza cheo chake ni Afisa habari wa baraza lkn ni siri.
inashangaza baraza wamepiga cm shuleni kwety wakiomba tuwatumie continous assesment za fom 4 2011 kesho