Matokeo afya

Matokeo afya

umeambiwa anataka hayo unayoyajua ww,je kama ni mhitimu acha kuwa na akili ya kukurupuka ka ndege

Kwani kichwa cha habari kinaulizaje na we acha kukurupuka, na kama kuna mengine zaidi ya haya ayauliziayo muulizaji amekurupuka pia.
 
Jamani majibu yametoka ila kuna list ya reserve wana maanisha nni...?msaada
 
Jamani majibu yametoka ila kuna list ya reserve wana maanisha nni...?msaada

reserve list ni majina ya wanafunzi waliochaguliwa kwa maana wamekidhi vigezo ila kutokana na ufinyu wa nafasi ama vyuo wanatakiwa kuvuta subira kidogo huku wakingoje nafasi zitakazopatikana!!

Nafasi zitapatikanaje??

Nafasi zitapatikana endapo wanafunzi ambao wameshapangiwa vyuo hawataripoti au watachelewa kuripoti kwa wakati!!

Mpaka tarehe 9 Novemba iwapo kutakuwa na mwanafunzi ambaye hatakuwa ameripoti basi nafasi yake itachukuliwa na @reserve

Zingatia:

Kama upo reserve yakupasa kuandika barua ya kuthibitisha kwamba endapo nafasi itapatikana upo tiyari kwenda!!
 
Samahan, kwan hayo majina ya reserve yapo tayar au bado hayajatolewa?
 
A%20S-confused1.gif
 
Back
Top Bottom