ERNEST DONALD
Member
- Oct 26, 2013
- 6
- 0
Hv matokeo bado tu?
Wewe upo wapi??
umeambiwa anataka hayo unayoyajua ww,je kama ni mhitimu acha kuwa na akili ya kukurupuka ka ndege
Jamani majibu yametoka ila kuna list ya reserve wana maanisha nni...?msaada

Samahan, kwan hayo majina ya reserve yapo tayar au bado hayajatolewa?