Josh Michael
JF-Expert Member
- Jun 12, 2009
- 2,523
- 87
Tuendelea kusubiri maana haya matokeo ndio tutaingia nayo kwenye uchaguzi mwakani na pia yatatumika kama mwanga kwa ajili ya CHADEMA na pia Pasco tupo Pamoja katika kuleta habari. by the way tunashukuru sana kwa kutuletea matokeoHizo tatu kwanini hayaja jumlishwa? ama ndo wana anza kuzikiteto na kuzibusanda?
Lakini 4/7 ni dalili njema.. twasubili kwa hamu mkuu.
CHADEMA watakuwa wameiba kura......Nadhani zimeshajulikana kata 7 ambapo CHADEMA ilikuwa inaongoza kwa 51% na CCM ikiwa na 48% hivi...
Ngoja tusubiri matokeo ya kueleweka
Lol.........
Masatu matokeo vipi?
CHADEMA watakuwa wameiba kura......
Nadhani zimeshajulikana kata 7 ambapo CHADEMA ilikuwa inaongoza kwa 51% na CCM ikiwa na 48% hivi...
Ngoja tusubiri matokeo ya kueleweka
Masikini Mukasa, 2010 hataruhusiwa kukiwakilisha chama chake kwasababu ya issue ya uraia hata hivyo sioni namna ya kuwabadilisha wana Biharamuro within one year and three months. Walichoshindwa wana Kiteto na Busanda, Biharamuro wanakiweza.
Wakuu, unajua sasa nadata, ina maana ndo tayali 51% mbadala Vs Fisadi 48% ??
Its 51% CCM No.2 Vs 48% CCM No.1Wakuu, unajua sasa nadata, ina maana ndo tayali 51% mbadala Vs Fisadi 48% ??