Matokeo bodi ya mikopo.

Daole

Senior Member
Joined
Sep 23, 2010
Posts
161
Reaction score
110
Leo Bodi ya mikopo ya elimu ya juu imetangaza matokeo ya awamu ya kwanza kwa wanafunzi waliomba mikopo kupitia bodi hiyo.(Means testing)first batch 2010/2011 kwa baadhi ya vyuo zaidi tembelea www.heslb.go.tz
 
Jina langu halimo. Hata kule kwenye list of incomplete loan applicants nako halipo! Nashangaa sijui bahasha yangu haikufika!
 
jina langu halimo. Hata kule kwenye list of incomplete loan applicants nako halipo! Nashangaa sijui bahasha yangu haikufika!

nadhani hiyo ndiyo maana ya neno awamu ya kwanza...so kuwa mvumilivu bro!
 
Jina langu halimo. Hata kule kwenye list of incomplete loan applicants nako halipo! Nashangaa sijui bahasha yangu haikufika!

Hebu jaribu kusoma kwa makini. Umeyaona maelezo haya?

 
slaa amesem,a atawasomesha bure woooote!! kutakuwa hamna bodi ya mikopo tena .. heheheh!! ahadi nyingine bana
 
Chagua Slaa tuondokane na izi ana ana do za loan board
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…