Matokeo bora zaidi Hatua ya Makundi ya CAF Champions League

Manyanza

JF-Expert Member
Joined
Nov 4, 2010
Posts
16,464
Reaction score
35,629
IMG-20240304-WA0000.jpg

Kumbe hapo zamani Uto alishawahi pigwa 6-0 kwenye hatua ya makundi ?
 
Mnyama kwny ubora wake...
Tuelewane ukipigwa 5 bado ni level ya kawaida kwny club bingwa..kipigo cha kikatili kinaanzia 6 ndo kinarekodiwa..
 
Faraja nakutafuta hauonekani, faraja nakuita faraja. Baada ya wimbo wa CAF ni kwa wakubwa makundi hamfiki, baada ya kufika makundi wimbo ukabadilika. Mtakuwa wa mwisho kwenye kundi lenu hamtoboi mbele ya Belouizdad, Al Ahly na Medeama. Yanga imeingia robo fainali sasa wimbo unabadilika inatafutwa habari za nyuma, mara Simba imetoa kipigo vizito. Sasa unatoa kipigo kizito mwenzio anashinda ushindi mwembamba na anacheza fainali au kuchukua kombe je nani wa kujisifia hapo?
Kila msimu mnagotea hapo hapo na kujisifia ujinga.
 
Hii risala unamwandikia nani. Punguza maneno weka namba chache tu, ngapi ngapi
 
Back
Top Bottom